Friday, 11 May 2012

this is our new brog

tunamshukuru mungu kwa kutujalia na kutuwezesha pamoa na kutulinda.. tunamuomba mungu aendelee kutupa nguvu na uwezo wa kufikilia na uona mbali .. vilevile tuw ni watuwenye kugunduana uona mbali.
  binafsi namskuru mungu kwa kunijalia uwezo huu kidogo wa kuwaweka pamoja wanafunzi wa baso na kuwafanya wajione ni watoto wa baba mmoja na mama mmoja, hinyo basi nawaombea kwa mungu awatangulie na awape afya njema na nawatakia maandalizi mema ya mitihani yenu ya kumaliza mwa mungu awe nanyi. ameen
                   karibuni sana kwenye new blog yetu ambayo utaweza kupata habari mbalimbali kuhusu darasa letu la baso 1 amucta a habari nyingine muhimu kutoka ndani na nje ya nchi yetu ziwe za kitaifa, kimataifa, burudani na hata michezo na bila kusahau article mbalimbali za kisociologia na nyinginezo... asanteni na karibuni
                                                                               wako,
                                                                                     CEO baso 1-amucta
                                                                                          wakulichombe Ahmed