Friday, 2 November 2012

check out matukio muhimu yaliyo jitokeza leo katika mechi kali baina ya cg fm radio na veterani zote za mkoani tabora

baadhi ya wachezaji wa veteran wakiwa wanabadilishana mawazo na ujuzi baada ya mapumziko katika mechi yao.....
mchezaji wa cg fm radio mac zube akiwa katika harakati zake hapo uwanjani leo
je una lolote kuhusu mac zube? muulizee

baadhi ya matukio muhimu kabisa katika mechi ya leo.. daaahh hukuwepo pole sana week end ndo imeanza hivyooo tukutane tena kesho katika uwanja wa vita kutakuwa na mechi kali kati ya vijana wa chuo cha saut- amucta na vijana kutoka chemchem mjin tabora.. usikose
wachezaji wa cg fm radio wakibadilishana ujuzi wakati wa mapumziko..

No comments:

Post a Comment