Thursday, 1 November 2012

hatimae LINAH NA AMIN wafanyakazi pamoja ili kuwapa ladha mashabiki wa mziki wao.... kaa tayariii kuvaa tshit kali yenye logo ya kumkichwa.

linah na amin wakiwa studio wakirecord nyimbo yao mpyaaaa kabisa... je ina maana linah na amin wamerudiana?????????????? funguka kama kweli ww ni shabiki wao



tshart kaliiii zenye logo ya kumkichwa je unataka iwe mali yako tuwasiliane.... check na c.e.o wa kumkichwa jr utapata mzigo uwe mali yakooo kabisa kuwa wa kijanja tupia swagger za kumkichwa...

No comments:

Post a Comment