
huyu
ndio bibi ambae ana rap na kuimba, maajabu yake ameyaonyesha kwenye XXL
ya CLOUDS FM leo, stori kamili nitaiweka baadae kidogo hapa hapa
millardayo.com na itasikika pia kwenye AMPLIFAYA.

ana umri wa miaka 51, na mpaka sasa hajapata jina la kisanii la kutumia, track yake ya kwanza ameitoa leo kafanya na MH TEMBA
No comments:
Post a Comment