Saturday, 8 December 2012

get ready for AMUCTA ANNUAL FESTIVAL

AMUCTA ANNUAL FESTIVAL NI TAMASHA KUBWA KABISA AMBALO HALIJAWAHI KUTOKEA MKOANI TABORA NA HUSUSANI KATIKA CHUO CHA MTAKATIFU AUGUSTINE AKA AMUCTA.
TAMASHA HILO LITAHUSISHA MASHINDANO YA  VIPAJI MBALIMBALI KAMA VIKIWEMO VYA UBUNIFU WA AINA YOYOTE KAMA VILE LOGO DESIGN, UBUNIFU WA MAVAZI, KUIMBA, KUCHEZA AINA MBALIMBALI ZA MUZIKI, UCHESHI (COMEDY) NA VINGINE KIBAO.
 
               SO GET READY FOR MORE INFORMATION.
   

No comments:

Post a Comment